Ezekieli 48:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Na upande wa kusini, mianzi elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango la Simeoni; lango la Isakari, lango la Zabuloni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Ukuta wa upande wa kusini utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zebuluni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni. Tazama sura |