Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Na upande wa mashariki, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo; na malango matatu; lango la Yusufu, lango la Benyamini; lango la Dani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: Lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Ukuta wa Mashariki utakuwa na urefu wa mita 2,250. Upande huo utakuwa na malango matatu: lango la Yosefu, lango la Benyamini na lango la Dani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Upande wa mashariki, wenye urefu wa dhiraa elfu nne na mia tano, utakuwa na malango matatu: lango la Yusufu, lango la Benyamini na lango la Dani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Upande wa mashariki, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Yusufu, lango la Benyamini na lango la Dani.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:32
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo;


na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya makabila ya Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.


Na upande wa kusini, mianzi elfu nne na mia tano kwa kupima; na malango matatu; lango la Simeoni; lango la Isakari, lango la Zabuloni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo