Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya makabila ya Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 utakuwa na malango matatu: Lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 utakuwa na malango matatu: Lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 utakuwa na malango matatu: lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 malango hayo ya mji yatapewa majina ya makabila ya Israeli. Malango hayo matatu ya upande wa kaskazini moja litakuwa lango la Reubeni, lango la Yuda na lango la Lawi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:31
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.


Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.


Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Huku wakiwaongoza wafalme wao.


Na matokeo ya mji ndiyo haya; upande wa kaskazini, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo;


Na upande wa mashariki, mianzi elfu nne na mia tano, kwa kipimo; na malango matatu; lango la Yusufu, lango la Benyamini; lango la Dani.


Na ile milango kumi na miwili ni lulu kumi na mbili; kila mlango ni lulu moja. Na njia ya mji ni dhahabu safi kama kioo kiangavu.


Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo