Ezekieli 48:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Na mpakani mwa Asheri, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Naftali, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kabila la Naftali, litapata eneo linalopakana na lile la Asheri, kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Naftali atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Naftali atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama sura |