Ezekieli 48:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Na mpakani mwa Zabuloni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Gadi, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Eneo linalopakana na kabila la Zebuluni, kutoka mashariki kuelekea magharibi, litakuwa eneo la kabila la Gadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Gadi atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Zabuloni kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Gadi atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Zabuloni kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama sura |