Ezekieli 48:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Isakari, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Eneo linalopakana na kabila la Simeoni kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa eneo la kabila la Isakari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Isakari atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Simeoni kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Isakari atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Simeoni kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama sura |