Ezekieli 48:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Simeoni, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Eneo linalopakana na eneo la Benyamini kutoka upande wa mashariki kuelekea upande wa magharibi litakuwa la kabila la Simeoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Simeoni atakuwa na sehemu moja; itakayopakana na nchi ya Benyamini kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Simeoni atakuwa na sehemu moja, itakayopakana na nchi ya Benyamini kuanzia mashariki hadi magharibi. Tazama sura |