Ezekieli 48:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Na katika habari za kabila zilizosalia; toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Benyamini, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Makabila yaliyobaki yatagawiwa maeneo yao hivi: Kabila la Benyamini litapewa eneo kutoka mashariki hadi magharibi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “Kuhusu makabila yaliyobaki: “Benyamini atakuwa na sehemu moja; itakayoanzia upande wa mashariki hadi upande wa magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “Kuhusu makabila yaliyobaki: “Benyamini atakuwa na sehemu moja, itakayoanzia upande wa mashariki hadi upande wa magharibi. Tazama sura |