Ezekieli 48:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Asheri, fungu moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Eneo linalopakana na la Dani, kutoka mashariki hadi magharibi litakuwa la Asheri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Asheri atakuwa na sehemu moja; itapakana na nchi ya Dani kuanzia mashariki hadi upande wa magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Asheri atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Dani kuanzia mashariki hadi upande wa magharibi. Tazama sura |