Ezekieli 48:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa kusini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa mashariki mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa magharibi mianzi mia mbili na hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kuuzunguka mji, kutakuwa na eneo wazi lenye upana wa mita 125. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Eneo la malisho kwa ajili ya mji litakuwa na eneo la dhiraa mia mbili na hamsini upande wa kaskazini, dhiraa mia mbili na hamsini upande wa kusini, dhiraa mia mbili na hamsini upande wa mashariki, na dhiraa mia mbili na hamsini upande wa magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Sehemu ya malisho kwa ajili ya mji itakuwa na eneo la dhiraa 250 upande wa kaskazini, dhiraa 250 upande wa kusini, dhiraa 250 upande wa mashariki na dhiraa 250 upande wa magharibi. Tazama sura |