Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 48:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Na vipimo vyake ni hivi; upande wa kaskazini mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa kusini mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa mashariki mianzi elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi mianzi elfu nne na mia tano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 nao utakuwa wa mraba, kila upande mita 2,250.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa elfu nne na mia tano, upande wa kusini dhiraa elfu nne na mia tano, upande wa mashariki dhiraa elfu nne na mia tano, na upande wa magharibi dhiraa elfu nne na mia tano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa 4,500, upande wa kusini dhiraa 4,500, upande wa mashariki dhiraa 4,500 na upande wa magharibi dhiraa 4,500.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 48:16
2 Marejeleo ya Msalaba  

Nao mji utakuwa na malisho; upande wa kaskazini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa kusini mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa mashariki mianzi mia mbili na hamsini, na upande wa magharibi mianzi mia mbili na hamsini.


Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake ni sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu moja na mia tano; marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake ni sawasawa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo