Ezekieli 47:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Basi ndivyo mtakavyojigawanyia nafsi zenu nchi hii, sawasawa na makabila ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Basi, mtagawanya nchi hii kati yenu kulingana na makabila ya Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Basi, mtagawanya nchi hii kati yenu kulingana na makabila ya Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Basi, mtagawanya nchi hii kati yenu kulingana na makabila ya Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “Mtagawanya nchi hii miongoni mwenu kufuatana na makabila ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “Mtagawanya nchi hii miongoni mwenu kufuatana na makabila ya Israeli. Tazama sura |