Ezekieli 46:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na siku ya mwezi mwandamo itakuwa ni ng'ombe dume mchanga mkamilifu; na wana-kondoo sita, na kondoo dume; nao watakuwa wakamilifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Siku ya Mwezi Mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Siku ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari. Tazama sura |