Ezekieli 46:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Watu wa nchi nao wataabudu mbele ya mlango wa lile lango mbele za BWANA, siku za sabato, na siku za mwezi mwandamo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Siku za Sabato na za Mwezi Mwandamo watu wote wa nchi wataabudu mbele za Mwenyezi Mungu penye lile ingilio la ile njia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Siku za Sabato na za Mwezi mwandamo watu wote wa nchi wataabudu mbele za bwana penye lile ingilio la ile njia. Tazama sura |