Ezekieli 46:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Tena palikuwa na safu ndani yake pande zote, kuvizunguka vile viwanja vinne; tena palifanywa meko ya kutokosea, chini ya safu pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ulikuwapo ukuta kukizunguka kila kiwanja, na mahali pa moto mkabala na ukuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ulikuwapo ukuta kukizunguka kila kiwanja, na mahali pa moto mkabala na ukuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ulikuwapo ukuta kukizunguka kila kiwanja, na mahali pa moto mkabala na ukuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mzunguko wa ndani wa hizo kumbi nne ulikuwa na ukingo wa jiwe, zikiwa na sehemu zilizojengwa kwa ajili ya moto kuzunguka chini ya huo ukingo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mzunguko wa ndani wa hizo kumbi nne ulikuwa na ukingo wa jiwe, zikiwa na sehemu zilizojengwa kwa ajili ya moto kuzunguka chini ya huo ukingo. Tazama sura |