Ezekieli 46:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Katika pembe nne za ua huo palikuwa na viwanja vilivyoungana, urefu wake dhiraa arubaini, na upana wake thelathini; viwanja hivyo vinne vya pembeni vilikuwa vya kipimo kimoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 yaani, kwa pembe nne za ua vilikuwapo viwanja vinne vidogo vya urefu wa mita 20 na upana mita 15. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 yaani, kwa pembe nne za ua vilikuwapo viwanja vinne vidogo vya urefu wa mita 20 na upana mita 15. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 yaani, kwa pembe nne za ua vilikuwapo viwanja vinne vidogo vya urefu wa mita 20 na upana mita 15. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Katika pembe nne za huo ukumbi wa nje kulikuwa na kumbi nyingine, zenye urefu wa dhiraa arobaini na upana wake dhiraa thelathini, ambapo hizo kumbi kwenye hizo pembe nne zilikuwa na vipimo vilivyo sawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Katika pembe nne za huo ukumbi wa nje kulikuwa na kumbi nyingine, zenye urefu wa dhiraa arobaini na upana wake dhiraa thelathini, ambapo hizo kumbi kwenye hizo pembe nne zilikuwa na vipimo vilivyo sawa. Tazama sura |