Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ezekieli 46:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Kisha akanileta mpaka ua wa nje, akanipitisha karibu na pembe nne za ua huo; na tazama, katika kila pembe ya ua huo palikuwa na kiwanja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kisha akanipeleka kwenye uwanja wa nje, akanipitisha karibu na pembe nne za ua; kwa kila pembe ya ua kulikuwapo kiwanja kidogo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kisha akanipeleka kwenye uwanja wa nje, akanipitisha karibu na pembe nne za ua; kwa kila pembe ya ua kulikuwapo kiwanja kidogo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kisha akanipeleka kwenye uwanja wa nje, akanipitisha karibu na pembe nne za ua; kwa kila pembe ya ua kulikuwapo kiwanja kidogo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Baada ya hapo akanileta kwenye ukumbi wa nje na kunizungusha kwenye pembe zake nne, nami nikaona katika kila pembe ya huo ukumbi kulikuwa na ukumbi mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Baada ya hapo akanileta kwenye ukumbi wa nje na kunizungusha kwenye pembe zake nne, nami nikaona katika kila pembe ya huo ukumbi kulikuwa na ukumbi mwingine.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 46:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na sauti ya mabawa ya makerubi ikasikiwa, hata katika ua wa nje, kama sauti ya Mungu Mwenyezi, asemapo.

Ndipo akanileta mpaka katika ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.

Akaniambia, Hapa ndipo mahali pa makuhani, watakapoitokosa sadaka ya hatia, na sadaka ya dhambi, watakapoioka sadaka ya unga; kusudi wasizilete nje katika ua wa nje, na kuwatakasa watu.

Katika pembe nne za ua huo palikuwa na viwanja vilivyoungana, urefu wake dhiraa arubaini, na upana wake thelathini; viwanja hivyo vinne vya pembeni vilikuwa vya kipimo kimoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo