Ezekieli 46:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nawe utamtoa mwana-kondoo wa mwaka mmoja, mkamilifu, kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA kila siku; kila siku asubuhi utamtoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Kila siku asubuhi mtamtolea Mwenyezi-Mungu mwanakondoo wa mwaka mmoja asiye na dosari, ambaye atateketezwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Kila siku asubuhi mtamtolea Mwenyezi-Mungu mwanakondoo wa mwaka mmoja asiye na dosari, ambaye atateketezwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Kila siku asubuhi mtamtolea Mwenyezi-Mungu mwanakondoo wa mwaka mmoja asiye na dosari, ambaye atateketezwa mzima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “ ‘Kila siku utamtoa mwana-kondoo wa mwaka mmoja asiyekuwa na dosari kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa Mwenyezi Mungu, utaitoa kila siku asubuhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “ ‘Kila siku utamtoa mwana-kondoo wa mwaka mmoja asiyekuwa na dosari kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa bwana, utaitoa kila siku asubuhi. Tazama sura |