Ezekieli 45:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Nanyi mtaiandika milki ya mji, upana wake elfu tano, na urefu wake elfu ishirini na tano, kandokando ya mahali palipotolewa, iwe sehemu takatifu; nayo itakuwa ya nyumba yote ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “ ‘Utatoa mji kama mali yao, wenye upana wa dhiraa elfu tano, na urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano karibu na sehemu takatifu; itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “ ‘Utatoa mji kama mali yao wenye upana wa dhiraa 5,000 na urefu wa dhiraa 25,000, karibu na sehemu takatifu, itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli. Tazama sura |