Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ezekieli 45:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng'ombe, na efa moja kwa kondoo dume, na hini moja ya mafuta kwa efa moja;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali, na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja ya mafuta kwa kila efa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja ya mafuta kwa kila efa.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 45:24
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na katika sikukuu hizo, na sikukuu nyingine zilizoamriwa, sadaka ya unga itakuwa efa moja kwa ng'ombe mmoja, na efa moja kwa kondoo dume mmoja, na kwa wale wana-kondoo kiasi awezacho kutoa, na hini moja ya mafuta kwa efa moja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo