Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 45:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Katika hiyo itakuwako sehemu kwa mahali patakatifu, urefu wake mia tano, na upana wake mia tano, mraba pande zote; na dhiraa ishirini kwa viunga vyake pande zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Katika eneo hilo patakuwa na sehemu mraba ambayo ni ya mahali patakatifu; kila upande utakuwa dhiraa mia tano, ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Katika hiyo, itakuwepo sehemu mraba ambayo ni mahali patakatifu kila upande dhiraa 500 ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 45:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sauti ya vilio vya rubani zako viunga vyako vitatetemeka.


Basi, alipokuwa amekwisha kuipima nyumba ya ndani, akanileta nje, kwa njia ya lango lililokabili upande wa mashariki, akalipima pande zote.


Tena utamtwaa ng'ombe wa sadaka ya dhambi, naye utamteketeza mahali palipoamriwa pa nyumba ile, nje ya mahali patakatifu.


Tena, mtakapoigawanya nchi kwa kura iwe urithi, mtamtolea BWANA toleo, sehemu takatifu ya nchi, urefu wake utakuwa urefu wa mianzi elfu ishirini na tano, na upana wake elfu kumi; itakuwa takatifu ndani ya mipaka yake yote pande zote.


Na kwa kipimo hicho utapima, urefu wa elfu ishirini na tano, na upana wa elfu kumi; na ndani yake patakuwa patakatifu, palipo patakatifu sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo