Ezekieli 45:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli. Tazama sura |