Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 45:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Toleo mtakalotoa ni hili; sehemu ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, nanyi mtatoa sehemu ya sita ya efa katika homeri ya shayiri;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: Moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: Moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 “ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano, na sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 “ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 45:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.


na sehemu ya mafuta iliyoamriwa, katika bathi ya mafuta, itakuwa sehemu ya kumi ya bathi katika kori moja, ambayo ni bathi kumi, yaani homeri; maana bathi kumi ni homeri moja;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo