Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 44:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Nawe utawaambia waasi, yaani nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Enyi nyumba ya Israeli, machukizo yenu yote, na yakome,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Iambie nyumba ya uasi ya Israeli, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Matendo yenu ya machukizo yatosha, ee nyumba ya Israeli!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Iambie nyumba ya kuasi ya Israeli, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Matendo yenu ya machukizo yatosha, ee nyumba ya Israeli!

Tazama sura Nakili




Ezekieli 44:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kama almasi ilivyo ngumu kuliko gumegume, ndivyo nilivyokifanya kipaji chako; usiwaogope, wala usifadhaike kwa sababu ya nyuso zao, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.


Bwana MUNGU asema hivi; Na iwatoshe ninyi, enyi wakuu wa Israeli; ondoeni dhuluma na unyang'anyi; fanyeni hukumu na haki; acheni kutoza kwenu kwa nguvu katika watu wangu, asema Bwana MUNGU.


Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuishi katika uzinzi, tamaa, ulevi, na karamu za kula na kunywa vileo kupindukia, na ibada haramu ya sanamu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo