Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 43:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Na pale pawashiwapo moto, urefu wake dhiraa kumi na mbili, na upana wake kumi na mbili, mraba pande zake nne.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Pale panapowashwa moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili na upana wa dhiraa kumi na mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Pale pawashwapo moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili na upana wa dhiraa kumi na mbili.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 43:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa katika Misri, toka katikati ya tanuri ya chuma.


Tena akafanya madhabahu ya shaba, dhiraa ishirini urefu wake, na dhiraa ishirini upana wake, na dhiraa kumi kwenda juu kwake.


Wakaiweka madhabahu juu ya msingi wake; maana hofu imewashika kwa sababu ya watu wa nchi; wakamtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu yake, sadaka za kuteketezwa za asubuhi na jioni.


Nawe fanya madhabahu ya mti wa mshita; urefu wake utakuwa ni dhiraa tano, na upana wake dhiraa tano; hiyo madhabahu itakuwa mraba; na kwenda juu kwake kutakuwa dhiraa tatu.


Ole wa Arieli, Arieli, mji ambao Daudi alifanya kituo chake ndani yake; ongezeni mwaka baada ya mwaka; sikukuu na zirudi wakati wake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo