Ezekieli 42:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na ukuta ule uliokuwa nje, ubavuni mwa vyumba vile, ulioelekea ua wa nje, kuvikabili vyumba vile, urefu wake ni dhiraa hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kulikuwa na ukuta mkabala na vyumba kuelekea uwanja wa nje ukiwa na urefu wa mita 25. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kulikuwa na ukuta mkabala na vyumba kuelekea uwanja wa nje ukiwa na urefu wa mita 25. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kulikuwa na ukuta mkabala na vyumba kuelekea uwanja wa nje ukiwa na urefu wa mita 25. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kulikuwa na ukuta wa nje uliokuwa sambamba na vile vyumba na ukumbi wa nje, ulitokeza urefu wa dhiraa hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kulikuwa na ukuta wa nje uliokuwa sambamba na vile vyumba na ukumbi wa nje, ulitokeza urefu wa dhiraa hamsini. Tazama sura |