Ezekieli 42:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 kukabili urefu wa dhiraa mia moja palikuwa na mlango wa kaskazini, na upana wake ni dhiraa hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Jengo hili lililokuwa upande wa kaskazini lilikuwa na urefu wa mita 50 na upana wa mita 25. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Jengo ambalo mlango wake ulielekea kaskazini lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Jengo ambalo mlango wake ulielekea kaskazini lilikuwa na urefu wa dhiraa mia moja na upana wa dhiraa hamsini. Tazama sura |