Ezekieli 42:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akageuka aelekee upande wa magharibi, akapima mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kisha akageukia upande wa magharibi na kuupima, ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kisha akageukia upande wa magharibi na kuupima, ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia. Tazama sura |