Ezekieli 42:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Akaupima upande wa kusini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Tena akapima upande wa kusini, nao ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Tena akapima upande wa kusini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia. Tazama sura |