Ezekieli 42:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Akaupima upande wa kaskazini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Akapima upande wa kaskazini, nao ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Akapima upande wa kaskazini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia. Tazama sura |