Ezekieli 42:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Akaupima upande wa mashariki kwa mwanzi wa kupimia, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa 500 Tazama sura |