Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ezekieli 41:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Na milango ya hekalu ilitengenezwa makerubi na mitende vile vile, kama zile kuta zilivyotengenezwa; tena palikuwa na boriti nene juu ya uso wa ukumbi, nje.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kwenye mlango wa kuingilia ukumbi kulichorwa viumbe vyenye mabawa na mitende, kama ilivyokuwa kwenye kuta. Na kulikuwa na kifuniko cha ubao kikifunika mlango kwa nje kwenye sehemu ya kuingilia ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kwenye mlango wa kuingilia ukumbi kulichorwa viumbe vyenye mabawa na mitende, kama ilivyokuwa kwenye kuta. Na kulikuwa na kifuniko cha ubao kikifunika mlango kwa nje kwenye sehemu ya kuingilia ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kwenye mlango wa kuingilia ukumbi kulichorwa viumbe vyenye mabawa na mitende, kama ilivyokuwa kwenye kuta. Na kulikuwa na kifuniko cha ubao kikifunika mlango kwa nje kwenye sehemu ya kuingilia ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Juu ya hiyo milango ya Patakatifu palinakshiwa makerubi na mitende kama nakshi zilizokuwa kwenye kuta, na kulikuwa na ubao ulioning’inia mbele ya baraza kwa nje.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Juu ya hiyo milango ya Patakatifu palinakshiwa makerubi na miti ya mitende kama yale yaliyonakshiwa kwenye kuta, na kulikuwa na ubao ulioning’inia mbele ya baraza kwa nje.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 41:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akaifanya baraza ya nguzo; mikono hamsini urefu wake, na mikono thelathini upana wake; na ukumbi mbele yake; na nguzo na mihimili minene mbele yake.

Na kwa vile katika vyumba palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na kwa miimo yake ndani ya lango pande zote, na kwa matao yake vivyo hivyo; na madirisha yalikuwako, pande zote upande wa ndani, tena palikuwa na mitende juu ya kila mwimo.

na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za ghorofa zile tatu, zilizokikabili kizingiti, zilitiwa mabamba ya mti pande zote; na toka chini hadi madirishani; (nayo madirisha yamefunikwa);

kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo