Ezekieli 41:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu kuonekana kwake palionekana kama hapo kwanza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mahali patakatifu pa nje palikuwa na miimo ya mlango uliokuwa mraba; na ule uliokuwa katika Patakatifu Pa Patakatifu ulifanana na huo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mahali patakatifu pa nje palikuwa na miimo ya mlango uliokuwa mraba na ule uliokuwa katika Patakatifu Pa Patakatifu ulikuwa unafanana na huo mwingine. Tazama sura |