Ezekieli 41:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Toka chini hadi juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kuanzia sakafu hadi eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na mitende, pamoja na kwenye ukuta wa nje wa Patakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kuanzia sakafu mpaka eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na miti ya mitende pamoja na kwenye ukuta wa nje wa patakatifu. Tazama sura |