Ezekieli 41:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 mitende na picha za viumbe wenye mabawa. Kila baada ya mtende kulichorwa picha ya kiumbe chenye mabawa kukizunguka chumba chote. Kila kiumbe alikuwa na nyuso mbili: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 kulinakshiwa makerubi na mitende; mtende ulikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 kulinakshiwa makerubi na miti ya mitende. Miti ya mitende ilikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili: Tazama sura |