Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ezekieli 41:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 na mpaka juu ya mlango hata nyumba ya ndani, na nje, na juu ya kuta zote pande zote, katika nyumba ya ndani, na ya nje,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mpaka kwenye nafasi juu ya mlango hata kwenye chumba cha ndani na nje yake, pia juu ya kuta ndani ya chumba cha ndani na kwenye ukumbi palikuwapo na michoro iliyofanana na

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Katika nafasi iliyokuwa juu ya upande wa nje wa ingilio la mahali patakatifu, na katika kuta zilizozunguka mahali patakatifu na sehemu ya nje, kwa nafasi zilizo sawa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Katika nafasi iliyokuwa juu ya upande wa nje wa ingilio la sehemu takatifu ya ndani, na katika kuta zilizozunguka sehemu takatifu ya ndani na sehemu takatifu ya nje, kwa nafasi zilizo sawa,

Tazama sura Nakili

Ezekieli 41:17
3 Marejeleo ya Msalaba  

na vizingiti, na madirisha yaliyofungwa, na baraza za pande zote za ghorofa zile tatu, zilizokikabili kizingiti, zilitiwa mabamba ya mti pande zote; na toka chini hadi madirishani; (nayo madirisha yamefunikwa);

kulipambwa kwa makerubi na mitende; mtende mmoja kati ya kerubi na kerubi, na kila kerubi lilikuwa na nyuso mbili;

Basi, alipokuwa amekwisha kuipima nyumba ya ndani, akanileta nje, kwa njia ya lango lililokabili upande wa mashariki, akalipima pande zote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo