Ezekieli 41:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Akaupima urefu wa jengo lile lililokabili mahali palipotengeka, palipokuwa nyuma yake, na baraza zake upande huu na upande huu, dhiraa mia moja; na hekalu la ndani, na kumbi za ua; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yule mtu akapima urefu wa jengo hadi magharibi pamoja na mabaraza yake pande zake zote, nalo lilikuwa na urefu wa mita 50. Chumba cha kuingilia hekaluni, mahali patakatifu, na mahali patakatifu kabisa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yule mtu akapima urefu wa jengo hadi magharibi pamoja na mabaraza yake pande zake zote, nalo lilikuwa na urefu wa mita 50. Chumba cha kuingilia hekaluni, mahali patakatifu, na mahali patakatifu kabisa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yule mtu akapima urefu wa jengo hadi magharibi pamoja na mabaraza yake pande zake zote, nalo lilikuwa na urefu wa mita 50. Chumba cha kuingilia hekaluni, mahali patakatifu, na mahali patakatifu kabisa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kisha akapima urefu wa jengo lililoelekeana na ua upande wa nyuma wa Hekalu, pamoja na baraza zake kila upande, kwa kipimo cha dhiraa mia moja. Ukumbi mkuu, na mahali patakatifu, pamoja na baraza inayoelekeana na ukumbi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kisha akapima urefu wa jengo linaloelekeana na ua upande wa nyuma wa Hekalu, pamoja na vyumba vyake kila upande, ilikuwa dhiraa mia moja. Sehemu takatifu ya nje, sehemu takatifu ya ndani, pamoja na baraza inayoelekeana na ukumbi, Tazama sura |