Ezekieli 41:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 tena upana wa uso wa nyumba, na wa mahali palipotengeka upande wa mashariki, dhiraa mia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Urefu mbele ya hekalu tangu upande huu hadi upande huu ukichanganya na ile nafasi wazi, ulikuwa pia mita 50. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Upana wa ua wa Hekalu upande wa mashariki, pamoja na upande wa mbele wa Hekalu ulikuwa dhiraa mia moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Upana wa ua wa Hekalu upande wa mashariki, pamoja na upande wa mbele wa Hekalu ulikuwa dhiraa mia moja. Tazama sura |