Ezekieli 40:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Tena hizo kulabu, ambazo urefu wake ni shubiri, zilifungwa ndani pande zote; na juu ya meza hizo ilikuwako nyama ya matoleo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Ndani ya ukumbi huo palizungukwa na vijiti vya kutundikia urefu wa kitanga, na nyama ziliwekwa mezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne, zilizokuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Kulikuwa na kulabu, urefu wake nyanda nne, zilikuwa zimeshikizwa ukutani pande zote. Meza zilikuwa kwa ajili ya nyama za sadaka. Tazama sura |