Ezekieli 40:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Palikuwa na meza nne upande huu, na meza nne upande huu, karibu na lango; meza nane ambazo juu yake walizichinja sadaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: Meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: Meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Meza zote ambazo zilitumiwa kwa kuchinjia wanyama wa tambiko zilikuwa nane: meza nne ndani ya ukumbi na meza nne nje ya ukumbi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Kwa hiyo kulikuwa na meza nne upande mmoja wa lango na nyingine nne upande mwingine, zote zilikuwa meza nane, ambapo dhabihu zilichinjiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Kwa hiyo kulikuwa na meza nne upande mmoja wa lango na nyingine nne upande mwingine, zote zilikuwa meza nane, ambapo dhabihu zilichinjiwa. Tazama sura |