Ezekieli 40:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Na upande mmoja, nje, penye madaraja ya kuliingia lango lililoelekea kaskazini, palikuwa na meza mbili; na upande wa pili, ulio wa ukumbi wa lango hilo, palikuwa na meza mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Nje ya ukumbi huo, kulikuwa na meza mbili upande mmoja na mbili upande mwingine wa njia ya kuingilia kwenye lango la kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Nje ya ukumbi huo, kulikuwa na meza mbili upande mmoja na mbili upande mwingine wa njia ya kuingilia kwenye lango la kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Nje ya ukumbi huo, kulikuwa na meza mbili upande mmoja na mbili upande mwingine wa njia ya kuingilia kwenye lango la kaskazini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Karibu na ukuta wa nje wa baraza ya lile lango, karibu na ngazi kwenye ingilio kuelekea kaskazini kulikuwa na meza mbili, nao upande mwingine wa ngazi kulikuwa na meza mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Karibu na ukuta wa nje wa baraza ya lile lango karibu na ngazi kwenye ingilio kuelekea kaskazini kulikuwa na meza mbili, nako upande mwingine wa ngazi kulikuwepo na meza mbili. Tazama sura |