Ezekieli 40:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Akanileta mpaka ua wa ndani ulioelekea upande wa mashariki, akalipima lango kwa vipimo vivyo hivyo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Yule mtu alinipeleka upande wa mashariki wa ua wa ndani. Akaipima ile njia ya kuingilia, nayo ilikuwa na urefu kama zile njia nyingine za kuingilia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kisha akanileta hadi kwenye ukumbi wa ndani ulioko upande wa mashariki, naye akalipima lango hilo; lilikuwa na vipimo vilivyo sawasawa na yale mengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kisha akanileta mpaka kwenye ukumbi wa ndani ulioko upande wa mashariki, naye akalipima lango hilo, lilikuwa na vipimo vilivyo sawasawa na yale mengine. Tazama sura |