Ezekieli 40:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na ile sakafu ilikuwa kando ya malango, urefu wake sawasawa na urefu wa malango, yaani, sakafu ya chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Njia hii iliyojengwa iliambaa na lango, ikiwa na urefu sawa na lango; hii ilikuwa ni njia ya chini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Njia hii iliyojengwa iliambaa na lango, ikiwa na urefu sawa na lango, hii ilikuwa ni njia ya chini. Tazama sura |