Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 40:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Akafanya miimo pia, dhiraa sitini; na uwanda uliufikia mwimo, lango lile likizungukwa pande zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Chumba cha mwisho kabisa kilielekea kwenye ua. Akakipima chumba hicho nacho kilikuwa na upana mita 10.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Akapima pande za mbele za hizo kuta zilizochomoza kuzunguka hadi ndani ya ingilio. Urefu wake ulikuwa dhiraa sitini. Kipimo kilikuwa hadi baraza iliyoangaliana na ua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Akapima pia ukumbi, urefu wa dhiraa ishirini na lango linalofuatia hiyo nguzo kila upande wa huo ukumbi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 40:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akaniambia, Sulemani, mwanao, ndiye atakayeijenga nyumba yangu na nyua zangu; kwa kuwa nimemchagua awe mwanangu, nami nitakuwa babaye.


Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;


Nawe fanya ua wa maskani; upande wa kusini wa kuelekea kusini kutakuwa na chandarua ya nguo ya kitani nzuri yenye kusokotwa, kwa huo ua, urefu wake upande mmoja utakuwa ni dhiraa mia moja;


na hizo kuta za nguo za ua, viguzo vyake, vitako vyake na pazia la lango la ua;


Lakini walioivuna, ndio watakaoila, na kumhimidi BWANA; na walioichuma, ndio watakaoinywa, ndani ya nyua za patakatifu pangu.


Akalipima lango, toka paa la chumba kimoja hadi paa la chumba cha pili, upana wa dhiraa ishirini na tano; mlango mmoja ukielekea mlango wa pili.


Na toka mahali palipo mbele ya lango, penye maingilio yake, hata mahali palipo mbele ya ukumbi wa ndani ya lango, dhiraa hamsini.


Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu kuonekana kwake palionekana kama hapo kwanza.


Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, njia ya kuelekea upande wa kaskazini; akaniingiza katika chumba kilichopakabili mahali palipotengeka, na kilicholikabili jengo upande wa kaskazini;


Akanileta hadi katika mlango wa ua; nami nilipoangalia, tazama, pana tundu katika ukuta.


Na unga uliosalia Haruni na wanawe wataula; utaliwa pasipo kutiwa chachu, katika mahali patakatifu; katika ua wa hema ya kukutania ndipo watakapoula.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo