Ezekieli 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 BWANA akasema, Hivyo ndivyo wana wa Israeli watakavyokula chakula chao, hali kimetiwa unajisi, kati ya mataifa nitakakowafukuza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu akasema, “Hivi ndivyo watu wa Israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 bwana akasema, “Hivi ndivyo watu wa Israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka.” Tazama sura |