Ezekieli 39:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 nami nitaupiga upinde wako, utoke katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako nitaiangusha, itoke katika mkono wako wa kulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kisha nitauvunja upinde wako katika mkono wako wa kushoto, na mishale yako katika mkono wako wa kulia nitaiangusha chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume. Tazama sura |