Ezekieli 39:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tena, Hamona litakuwa jina la mji. Hivyo ndivyo watakavyotakasa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Huko kutakuwa pia mji utakaoitwa Hamona. Ndivyo watakavyoisafisha nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Huko kutakuwa pia mji utakaoitwa Hamona. Ndivyo watakavyoisafisha nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Huko kutakuwa pia mji utakaoitwa Hamona. Ndivyo watakavyoisafisha nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 (Pia mji uitwao Hamona utakuwa humo.) Hivyo ndivyo watakavyoisafisha nchi.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 (Pia mji uitwao Hamona utakuwa humo.) Hivyo ndivyo watakavyoisafisha nchi.’ Tazama sura |