Ezekieli 39:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na hao wapitao kati ya nchi watachunguza; na mtu yeyote aonapo mfupa wa mtu, ndipo atakapoweka alama karibu nao, hadi wazikaji watakapouzika katika bonde la Hamon-Gogu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wakati wanapopitapita humo nchini, kama wakiona mfupa wa binadamu wataweka alama ili wale wanaozika waje na kuuzika katika Bonde la Hamon-gogu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wakati wanapopitapita humo nchini, kama wakiona mfupa wa binadamu wataweka alama ili wale wanaozika waje na kuuzika katika Bonde la Hamon-gogu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wakati wanapopitapita humo nchini, kama wakiona mfupa wa binadamu wataweka alama ili wale wanaozika waje na kuuzika katika Bonde la Hamon-gogu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wanapopita nchini kote, na mmoja wao akaona mfupa wa mwanadamu, ataweka alama kando yake hadi wachimba kaburi wauzike katika Bonde la Hamon-Gogu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wakati wanapopita nchini kote na mmoja wao akaona mfupa wa mwanadamu, ataweka alama kando yake mpaka wachimba kaburi wawe wameuzika katika Bonde la Hamon-Gogu. Tazama sura |