Ezekieli 39:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nao watawachagua watu wa kufanya kazi ya daima, watakaopita kati ya nchi, ili kuwazika waliosalia juu ya uso wa nchi, ili kuisafisha; miezi saba itakapokwisha kupita watachunguza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Baada ya miezi hiyo saba, watachagua watu wapitepite nchini kutafuta maiti ambazo zitakuwa bado hazijazikwa, wazizike ili kuisafisha nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Baada ya miezi hiyo saba, watachagua watu wapitepite nchini kutafuta maiti ambazo zitakuwa bado hazijazikwa, wazizike ili kuisafisha nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Baada ya miezi hiyo saba, watachagua watu wapitepite nchini kutafuta maiti ambazo zitakuwa bado hazijazikwa, wazizike ili kuisafisha nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “ ‘Watu wataajiriwa mara kwa mara kuisafisha nchi. Baadhi yao watapita nchini kote, na, wakiwa na wengine, watawazika wale waliosalia juu ya ardhi. Mwisho wa hiyo miezi saba wataanza upekuzi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “ ‘Watu wataajiriwa mara kwa mara kuisafisha nchi. Baadhi yao watapita nchini kote na zaidi yao hao wengine, watawazika wale waliosalia juu ya uso wa nchi. Mwisho wa hiyo miezi saba wataanza upekuzi wao. Tazama sura |