Ezekieli 39:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na kwa muda wa miezi saba, nyumba ya Israeli watakuwa wakiwazika, wapate kuitakasa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kwa kuisafisha nchi Waisraeli watatumia muda wa miezi saba kuzika maiti hizo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi. Tazama sura |